Taarifa toka kwa msanii wa filamu za vituko na msanii wa Bongo fleva,maarufu kwa jina la Sharo Milionea amepta ajali.
Kwa mujibu wa Sharo anasema ilikuwa mida ya leo asubuhi akiwa anatoka Burundi kuelekea kitaani kwake Dar es salaam.
Anaendelea kusema kuwa walipofika maeneo ya Mikese(Moro) Walipata ajali hiyo iliyousishwa na basi la TAQWA...ambapo anasema yeye ameumia kiasi chake kwa kukatwa na vioo maeneo mbalimbali ya mwili.
SOURCE DAR HOTWIRE
No comments:
Post a Comment