tuwasiliane

Friday, May 18, 2012

18 MAY. MAREHEM PATRICK MAFISANGO KUAGWA LEO SIGARA CHANG`OMBE



HABARI AMBAZO BLOG HII IMEZIPATA HIVI PUNDE NI KUWA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA MAREHEM PATRICK MAFISANGO ATAAGWA LEO KUANZIA MIDA YA SAA 4 ASUBUHI KATIKA VIWANJA VYA SIGARA CHANG`OMBE. MSEMAJI WA SIMBA EZEKIEL KAMWAGA AMETHIBITISHA HAYO.

KIUNGO HUYO AMBAYE AMEFARIKI JANA KWA AJARI YA GARI WAKATIA AKITOKA MAISHA KLABU KUBURUDIKA NA MARAFIKIA ZAKE. KATIKA UHAI WAKE MAREHEMU MAFISANGO AMEWAKI KUZICHEZEA TIMU ZA TP MAZEMBE YA CONGO DRC, APR YA RWANDA, AZAM FC YA TANZANIA NA KUMALIZIA UHAI WAKE SIMBA SPORTS CLUB. KATIKA MSIMU WA MWAKA HUU WA LIGI ULIOMALIZIKA WIKI CHACHE ZILIZOPITA MAFISANGO ALIWEZA KUIFUNGIA TIMU YA SIMBA MAGOLI 12 NA KUSHIKA NAFASI YA TATAU KATIKA UFUNGAJI.

WAKIELEZEA UMUHIMU WA MAFISANGO KATIKA TIMU YA SIMBA, WADAU MBALIMBALI WAKIONGEA NA HAPA NDIO KILA KITU, BWANA YUSUPH SIMBA KUTOKA DSM AMESEMA KWAMBA KULIZIBA PENGO LA MAFISANGO KWA SASA NI KAZI SANA. KWANI ALIKUWA KIUNGO MUHIMU SANA KATIKA TIMU, BWANA EDSON METHOD KUTOKA ARUSHA NAE AMESEMA SIMBA IMEPATA PIGO SANA KWANI MAFISANGO ALIKUWA KATIKA PICK YA HALI YA JUU KATIKA KIPINDI HIKI.

BLOG HII INAUNGANA NA WADAU WOTE KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU CHA MAJONZI

No comments:

Post a Comment