
HABARI AMBAZO BLOG HII IMEZIPATA HIVI PUNDE KIUNGO MACHACHARI WA KLABU YA WEKUNDU WA MSIMBAZI SIMBA, PATRICK MAFISANGO AMEFARIKI DUNIA BAADA YA KUPATA AJARI YA GARI
AKITHIBITISHA HABARI HIYO MWNYEKITI WA KLABU YA SIMBA MPIGANAJI ISMAIL ADENI RAGE WAKATI AKIHOJIWA NA CHANEL TEN AMESEMA NI KWELI KUWA KIUNGO HUYO AMEFARIKI ALFAJIRI YA LEO BAADA YA KUPATA AJARI WAKATI AKITOKA MAISHA KLABU NA FAMILIA YAKE.MPIGANAJI ANASEMA MCHEZAJI HUYO ALIPATA AJALI WAKATI ANATAKA KUMKWEPA MUENDESHA PIKIPIKI NDIPO GARI LAKE LILIPOWEZA KUINGIA KWENYE MTARO NA YEYE KUUMIA SANA,HALI ILIYOPELEKEA KUPOTEZA UHAI WAKE.
BLOG HII INATOA POLE KWA WANASIMBA WOTE, NA WANANCHI WA RWANDA KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU
No comments:
Post a Comment