tuwasiliane

Wednesday, April 4, 2012

04 APR. SALAM ZA 2015( I LOVE CHADEMA)


Mbunge Mteule wa Jimbo la Arumeru Mashariki, Joshua Nassari akiwapungia wananchi waliojitokeza kwenye mkutano wake wa hadhara uliofanyika jana kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Leganga, kwaajili ya kuwashukuru kwa kumchagua. Picha SOURCE www.mwananchi.co.tz

No comments:

Post a Comment