tuwasiliane

Tuesday, January 17, 2012

17 JAN. MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAREHEMU REGIA MTEMA KARIMJEE DAR LEO


ALIYEKUWA mbunge wa viti maalum kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Regia Mtema, ameagwa rasmi leo katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam na kusafirishwa kwenda nyumbani kwao Kilombero mkoani Morogoro kwa mazishi.

Mbunge huyo kijana alifariki kwa ajali ya gari huko Ruvu mkoani Pwani ambapo watu wangine saba waliokuwa katika gari lake walijeruhiwa vibaya.

Makamu wa Rais, Mohamed Bilal, aliongoza maelfu ya Watanzania katika kumwaga mbunge huyo.

No comments:

Post a Comment